Usaili wa zimamoto

Usaili wa zimamoto

Mullocoz

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
23
Reaction score
2
Majina ya waliopita kwenye usaili wa zimamoto yanatoka lini tujulishane.
 
be patient mkuu. walioapply ni wengi than unavyofikiria. ili kila mtu apate haki sawa, lazima uchambuzi uende taratibu.. endeleza tu michongo yako mingine. kama ipo ipo tu.
 
Majina yametoka daily news la leo trh 12 kwa ngazi ya mkaguzi msaidizi!! Usaili trh 25,26,27 chuo cha maafisa wa polisi kurasini
 
Back
Top Bottom