Usaili wa Tutorial Assistants, UDSM

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
815
Reaction score
1,713
Wadau, habari zenu?

Hope mpo poa., Wadau kama kuna mtu anafahamu interview za Tutorial positions pale UDSM anipe info huwa zimekaaje...

Natanguliza shukrani..
 
Mkuu kwani udsm washaita watu kwenye usaili? Je, wewe shida yako ni kujuwa mtiririko wa maswali au taarifa kama wameita?
 
Unaingia inajitambulisha wanakupiga maswali,kwa arts lazima ueleze kitabu ulichosoma,falsafa ya mwandishi na aspiration yako.kama umevuka 30 years watazingua
 
new generation, Inategemea..., ukifika unaweza kupewa dk 30 za kuandaa 10 min power point presentation ktk specialization yako...., ukisha-present unapigwa maswali ya kutosha..., kumbuka kuvaa vizuri (smart), confidence ya hali ya juu, chagua topic unayoi-masta vilivyo...., mengine utakutana nayo huko.

Usisahau kutoa mrejesho kwa yatakayojiri.
Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
Mm niliambiwaga..ni fanye presentation... power point,then niandike story yeyete yenye social dylema ....after ata sikuitwa japo nina 4.4...sijui kwa sababu nimesoma udom??
 

Nimefanya leo interview yao. Uliyosema ndo nilio kutana nayo. Ilikua interview very interesting, nimepigwa maswali meng sana na panel ya watu takribani 10. Nashukuru mungu nimeweza mudu interview kwa kujibu yalio ulizwa.
 
Last edited by a moderator:
Nimefanya leo interview yao. Uliyosema ndo nilio kutana nayo. Ilikua interview very interesting, nimepigwa maswali meng sana na panel ya watu takribani 10. Nashukuru mungu nimeweza mudu interview kwa kujibu yalio ulizwa.

Hongera sana new generation.
Unanitoaje sasa?! (Just joking!!)
 
Last edited by a moderator:
Wadau mm nimepigiwa simu niende wiki ijayo, mwenye mrejesho inakuwaje msaada plz
 
Mim pia niliomba T.A na sijapigiwa sim, wewe uliomba collage gan na ulipigiwa simu lini??
 
College of Health Science. Natakiwa interview mbili,29 na 30, as niliomba idara mbili tofauti
 
Mjipange wadau maana wale majamaa wana maswali magumu. Hakikisha unafahamu vitu na si mambo ya kumeza maana utaumbuka..
 
Fafanua mkuu new generation

Nimefanya interview yao alhamisi, wale jamaa wana maswali meng sana, kuna yale ya kawaida, na kuna mengne utaulizwa as an academician, but mengne yataulizwa kutokana na presentation yako.. Na waswali mengine yataulizwa about yo personal issues.
 
Salamu wadau wa humu ndani.Natumai sote tu wazima wa afya.

Tafadhali mwenye kujua naomba anijuze kama kitivo cha sheria wameanza kuita kwenye interview au kama kuna yeyeyote wa kitivo cha sheria kesha itwa.

Natanguliza shukran kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…