Mwnyew nmechaguliwa usaili msaidizi sioni direction hpa mwnye kujua ama alochaguliwa aje kutupa mbinu asee
Halaf wanachonishangaza wanasema usaili wa 1 unafanyika online then watatujulisha kituo cha usaili so natakiwa nifanye online lkn kwenye kituo husika au maana sielew