Haya twende taratibu niambie ni pepa gani hiyo waliuliza terminals za umeme then wakasisitiza ziwe in electrical useUongo gani Sasa au na ww ulifanya halaf ukaingia chaka ndio maana hutaki kukubali matokeo?
Rejea kwa mtoa mada alipoanzia maswali ameyaweka wazi usichoelewa Nini Sasa.Haya twende taratibu niambie ni pepa gani hiyo waliuliza terminals za umeme then wakasisitiza ziwe in electrical use
Ujuaji mwingi kumbe kichwa majiRejea kwa mtoa mada alipoanzia maswali ameyaweka wazi usichoelewa Nini Sasa.
Unanifanya nipate stress Kama za walimu kufundisha watu vilaza.
hii nimeinote mkuu maaba cjawahi fanya interview zao nahitaji nikiitwa eGA tu nitoboe mwanzo mwishomaswali yao meng ni ya java, python na c sharp sasa jitahid ujue hata intro zake tu alafu kasome multiple choice za https://www.indiabix.com/ utakuja kunishukuru siku moja
Nasubiri majibu ya oral ..sijui nifanyeje ili niweze kupita
hii nimeinote mkuu maaba cjawahi fanya interview zao nahitaji nikiitwa eGA tu nitoboe mwanzo mwisho
Daah [emoji847][emoji847][emoji847]Hahaaa.....
Maswali ya Security yalikuwa km ifuatavyo
1. What are the problems that can lead into poor research design?
2. Explain types of electronic security devices uses?
3. Narrate seven natural security barriers?
4. (Nimesahau)
5. What are disadvantages of direct observation? (on research perspective)
NB:- Hizo question mark zipo hivo hivo km zilivyo.
area gani walitoa kwa ICTπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ ukiambiwa gem gumu maanake ndio hiyo kila lakheri π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
are
area gani walitoa kwa ICT
Hahahahah wanachotaka usome pia uelewe field yako kama ni mtu wa kumeza tu unaweza ukapotea maana maswali yanafichwa na Dakika ni 40 maswali 4π π Wajinga sana hawa jamaa.me sijui ila ile mitihani naijua inavyokuwaga imesukwa kiroho mbaya kudadeki
hahahh dah tar 20 eGA, kazi ipoHahahahah wanachotaka usome pia uelewe field yako kama ni mtu wa kumeza tu unaweza ukapotea maana maswali yanafichwa na Dakika ni 40 maswali 4π π Wajinga sana hawa jamaa.
Kakomae mwanangu gonga sana PRAC hapo ndo mziki ulipo fatilia humu kuna nyuzi za watu wa Hizo FANI mkuu wameeleza upite wapi katika saili za UTUMISHI.hahahh dah tar 20 eGA, kazi ipo
powa powa chief, ila kama unaweza nisaidia kutupia link za hizo nyuzi itakuwa mzuka sana chief ingawaje nilicheki baadhiKakomae mwanangu gonga sana PRAC hapo ndo mziki ulipo fatilia humu kuna nyuzi za watu wa Hizo FANI mkuu wameeleza upite wapi katika saili za UTUMISHI.