Hilo swali la kwanza haliko wazi hivyo ni explain important terminals ndo lilikuwa swali la 3 then kwenye kujibu haijulikani ni terminals gani hasa za uwanja wa ndege au terminals za umeme1. Explain the five important terminals used in electrical .
2,. The most common method used for connecting wire conductor is wire connector. Explain this process
3- explain the terminal boxes used for residential and cottage wiring projects .
interview hiyo ya Electrical Technician kama mtihani wa history asee!!! Ambao mliofanya hii paper poleni sana wakuu sio kwa aina hii unampima fundi mchundo[emoji3][emoji3][emoji3] kama unataka kuajili mwalimu wa historia au uraia.?
😂😂 Kwanini sasa Mkuu wakati wote wana Degree naamini shida sio kutoka JKT shida tu kama kajibu sahihi.Security kwa waliotooa JKT ninauhakika wamekaaa.....hahahahahaaha
Swali la 4 lilikuwa lipi Mkuu?1. Explain the five important terminals used in electrical .
2,. The most common method used for connecting wire conductor is wire connector. Explain this process
3- explain the terminal boxes used for residential and cottage wiring projects .
interview hiyo ya Electrical Technician kama mtihani wa history asee!!! Ambao mliofanya hii paper poleni sana wakuu sio kwa aina hii unampima fundi mchundo[emoji3][emoji3][emoji3] kama unataka kuajili mwalimu wa historia au uraia.?
Hapo bila shaka ungejibu Terminal za kuhusu umeme mkuu na sio uwanja wa ndege maana Jamaa huwa wana mtindo wa kukurudisha class kwa Proffession kama hizi na hawabase kwenye Taasisi unayoenda fanya kazi hapo ilibidi tu ujiongeze ujibu kama Fundi Mchundo na sio ujibu ki TAA zaidi eti terminal za uwanja wa ndege utakuwa your Totaly wrongly.Hilo swali la kwanza haliko wazi hivyo ni explain important terminals ndo lilikuwa swali la 3 then kwenye kujibu haijulikani ni terminals gani hasa za uwanja wa ndege au terminals za umeme
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]1. Explain the five important terminals used in electrical .
2,. The most common method used for connecting wire conductor is wire connector. Explain this process
3- explain the terminal boxes used for residential and cottage wiring projects .
interview hiyo ya Electrical Technician kama mtihani wa history asee!!! Ambao mliofanya hii paper poleni sana wakuu sio kwa aina hii unampima fundi mchundo[emoji3][emoji3][emoji3] kama unataka kuajili mwalimu wa historia au uraia.?
Yes of course haya ni maswali ya kujiongeza na kufikirisha akili na sio ya kukariri notsi za chuo.Hii inajibika hata kwa elimu ya physics kidato cha nne.
Ni kweli mkuu.Hapo bila shaka ungejibu Terminal za kuhusu umeme mkuu na sio uwanja wa ndege maana Jamaa huwa wana mtindo wa kukurudisha class kwa Proffession kama hizi na hawabase kwenye Taasisi unayoenda fanya kazi hapo ilibidi tu ujiongeze ujibu kama Fundi Mchundo na sio ujibu ki TAA zaidi eti terminal za uwanja wa ndege utakuwa your Totaly wrongly.
Hahaaa.....Security kwa waliotooa JKT ninauhakika wamekaaa.....hahahahahaaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo wanataka kujua uwezo binafsi wa kujieleza.
La 4 jamaa alienitumia anasema lilikuwa refu maelezo yake amelisahau!Swali la 4 lilikuwa lipi Mkuu?
Maswali hayako wazi kama unavyofikilia mkuu !!Mbona maswali mepesi sana mkuu.
Point !!Yes of course haya ni maswali ya kujiongeza na kufikirisha akili na sio ya kukariri notsi za chuo.
Paper za sikuhizi almost zote zinakuja hivyo kwanza lazima ufikirishe ubongo kwa kila swali maana paper haziko directly hivyo na ni miiba kwa wale wanaokuwaga wanakalili notice za chuo maana likija swali limegeuka mtu anashwindwa kujua ajibu nini wakati yeye alikariri vitu kama vilivyo na huku ameingia akiwa na maswali yake mfukoni.Yes of course haya ni maswali ya kujiongeza na kufikirisha akili na sio ya kukariri notsi za chuo.
Yes offcourse yaani maswali ya aina hii ya kutumia uwezo binafsi ndio huwa nayapenda ili niwabwage vzr wapinzani wangu.Paper za sikuhizi almost zote zinakuja hivyo kwanza lazima ufikirishe ubongo kwa kila swali maana paper haziko directly hivyo na ni miiba kwa wale wanaokuwaga wanakalili notice za chuo maana likija swali limegeuka mtu anashwindwa kujua ajibu nini wakati yeye alikariri vitu kama vilivyo na huku ameingia akiwa na maswali yake mfukoni.
Dah kwa Sisi wa ICT kwa TAA ni balaa aisee,kitu kama cha leo sijawahi kutana nacho katika maisha yangu yote ya elimu
Dah Kuna mdau mmoja alikuwa anaelezea vipengele muhimu kabla ya kwenda hyo interview humu Jf yaani amegusa humo humoHahaaa.....
Maswali ya Security yalikuwa km ifuatavyo
1. What are the problems that can lead into poor research design?
2. Explain types of electronic security devices uses?
3. Narrate seven natural security barriers?
4. (Nimesahau)
5. What are disadvantages of direct observation? (on research perspective)
NB:- Hizo question mark zipo hivo hivo km zilivyo.
Uzi gani huo mkuu?Dah Kuna mdau mmoja alikuwa anaelezea vipengele muhimu kabla ya kwenda hyo interview humu Jf yaani amegusa humo humo
Pole sana bila shaka ni Mtu wa Makabati naamini kosa moja watu wa Accounting wengi wanaukuwaga wazuri kwenye Calculation na Entries ila ukija kwenye Soko la ajira mambo yanabadirika Unatakiwa pia uwe competent na kuweza kukielezea kitu ambacho unakiandaa hii ni sawa ukimwambia mtu aandae Trial balance fasta atakuandalia ila muulize ebu kwa uchache nielezee Trial balance ni nini au zinatumika njia ngapi kuiandaa ni swali dogo sana ila mtu anaweza shindwa kukujibu kikubwa anza sasa kujijenga vema boss soko linataka mtu awe ana uelewa na si kukaririshwa kama kule chuo lecturer akiingia anaandika tu Topics Statement of change in equity akiandika format mnaanza solve maswali sasa bila kujishughurisha mwenyewe uelewe hiko kitu ni nini ndiyo basi umekwisha mfano Mtu ukimwambia Clerical errors unapoandaa books of accounts hazijui ila anataka eti umuulize errors not affect Trial balance or affects Trial balance na hapo anasahau kama Trial balance ni moja kati ya books of accounts,ko muhimu jenga msingi wa kuchimba deep katika proffession yako sasa mkuu utakuwa mzuri tu na utanyoosha hizo paper maana maswali ya Utumishi yanataka mtu ambaye anakifahamu kitu kwa undani na si amekalili kitu kwa ajili ya kujibia Mtihani.Daaah! Ilikuwa ndo Mara yangu ya kwanza kuchaguliwa kufanya written interview kupitia hyo system yao, nilichaguliwa ya TPA nilijiamini kweli sikutaka kusoma kitu kwa vile npo second yr chuo nkasema maswali ya diploma ayatonisumbua but nilichokikuta ktk pepa nilihisi nimeonewa nilijbu swali 1 nalo nlipata 18 mengne nilienda op,niliumia sana kuona mtu WA kwanza kascore 84.
Nikachaguliwa tena TAA nkatenga muda kupitia materials nashukuru Mungu Jana nimeingia nmejibu walau maswali 3 ambayo ninaufahamu nayo kidogo naamini ata kama sitochaguliwa marks zangu zitatofautiana na pepa LA kwanza na ntakuwa nimrjifunza kitu ila zile pepa sio ngumu hasa ukiwa unauzoefu nazo yaani umefanya zaid ya Mara 3 adi 4 kikubwa kutokata tamaaa mana uwoga nao unachangia wengi kufeli.