Usaili wa SUA uliofanyika Chuo cha Ualimu Sumbawanga Leo ni uhuni uliopitiliza

Pole,ujue mara nyingi vyuo hupenda kuchukua products.Usitegemee udsm itachukua udom products
 
bali jina la mmoja ambaye ni mwanafunzi wa masters anayesoma SUA kwa sasa.

Ikumbukwe post tulioitiwa atakaefaulu baadae itabidi akasomeshwe masters
Unamaanisha alikuwa over-qualified au? Tatizo ni nini hapa? Au walikataza wanafunzi wa masters wasiombee?
 
Back
Top Bottom