Malengo Jr
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 287
- 99
Tembelea website ya polisi tanzania, Tanzania Police Force, oveer
Tembelea website ya polisi tanzania, Tanzania Police Force, oveer
Nimetembelea hiyo website ila mimi kwenye simu haionyeshi,kwani hakuna uwezekano wa kuyapata majina?
wakuu vp!,kuna pia tulio omba hizo nafas kwa kujaza form ya walio hitimu chuo!
kijana majina yako mengi sana form 4 kama 3653 na form 6 kama 621 kama nikiyaweka yata chokua kurasa nyingi na itakuwa ngumu kuyasoma, oveer