Kwanini mtu anaomba kusoma certificate? Kwanini asiombe diploma kabisa ? Maana hata akisoma certificate akienda diploma anarudia tena kusoma certificate , kama ufaulu wake ni mdogo alafu anasoma certificate baadae ili apate sifa za kuomba kozi sawa lakini anaenda kupata tabu sana huko mbeleni , haswa kwa kozi za udaktari hawapendi mtu aliyeungaunga pia kama form 4 ameharibu ni bora akatengeneza cheti chake cha form 4 maana huko mbeleni ni tabu tupu , ukiend kuomba kazi wanataka cheti cha form 4 ,ushindani kwenye ajira wanaangalia form 4 , chaguzi za kusoma degree wanaangalia form 4 , kwanini asisome diploma kabisa , maana hapo na certificate atasoma miaka minne kama akita kusoma na diploma.