JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,531
- 18,372
Tarehe 16/10/2014,nirifanya usaili( PRACTICAL INTERVIEW) VIETEL hapa dodoma,leo nimepigiwa simu niudhurie usaili wa ana kwa ana kesho,wakuu napenda kuuliza mwenye taarifa zao kuhusu PACKAGE,anijuze,maana nasikia kwamba mishahara yao inaishia 400000TSH,wakati mimi natafuta 3M,
Unamaanisha nini hiyo bold??
3m? umesoma nje ya nchi?
3m? umesoma nje ya nchi?
tanzania hatunaga sehemu inayoitwa sehemu kibao! umeskia dogolas, nimeuliza nkiwa na uzoefu na utafit wa nch yetu na hilo kampuni, sasa wewe ndo wale mnaoenda kutongoza demu afu unanamwambia mbona stiva ulimpa! ha ha ha Acha kuskia skia afu ndo uongee bila hata data yoyote! hii campun jamaa anataka 3m, kwanza ndo inaanza na ndo maana wanaanza 4kilo, ni tofaut na izo sehemu nyingne wewe unazozitak na penyewe uwe civil engenering ndo wanaanza mpaka 7m, sanasana ni kwenye maviwanda na makampun makubwa ya telecom....acha kukremu dogo kuwa kila mzungu ni pasta mbn ni mshahara wa kawaida tu sehemu kibao
hapana mkuu,hapa hapa bongo,inategemea unapata ngapi sasa hivi,na unataka ngapi,
sikia kaka @prez nakutajia mashirika na ofisi za umma ukaanzie huo utafiti wako kisha njoo tena anza tume ya mipango ya taifa kisha nenda NBS pale kata kona kisha ulizia TCRA then omba apointment TRA ukipata muda pia ulizia hata bodi ya mikopo ok my concern ni kwamba sio kila ofisi tz mshahara ni mdogo bibie unless umekuja juzi mjini kwa ajili ya chuo