Usaili utumishi: Tuma malalamiko utumishi

Mkuu kwani mnataka wawaite wote kazini wakati nafasi wanazo mia tu! Subirini kama mtafeli wote watazitangaza tena na kama wakipatikana waliofaulu ujue hao ndo zoezi litakuwa linasonga mbele,si lazima wote mfaulu ndio maana ya mchujo h uo.
 
bora ya wewe umeongea kitu chenye mchango kuliko wanao lalamika tu bila kusema tufanye nini? nimeshatuma.
 
Si lazima wote wafaulu.. Ni kweli.... Ila yapo mapungufu makubwa ikiwemo kuvuja kwa maswali na utungaji maswali usiozingatia upimaji ila ufelishaji

Ilo kweli ndugu upo sahihi, hain maan kuwa mtu akifeli hana uwezo wa kufanya kazi haliyokuw ameomba. Mara nyingine uwa wanachukua watu waliopata alama mpaka 70 kwend juu, hii ina maaan kuwa mtihan ulikuwa na usawa na mtu alipat cha kujibu. Ngoja watoe majibu utajionea majanga waliokusudia ktk utungaji uliozingatia ufelishaji tu. Mfano HRO maswal 2 ktk topic 1 wakat waliita wat waliosom Sociology, HRM, Manpower Planning na Public Administration.
 
hata ukiandika malalamiko huwa hawana majibu hao jamaa,niliwahi kuandika malalamiko juu ya siku ya usaili walikaa kimya na nilipiga simu lakini niliyeongea nae alikata simu kwa madai ya kuwa bize,sijui bize na nini wakati mimi ndo mteja? hapo hakuna uhakika wa kujibiwa NAWASIHI SANA MSIJALIBU KUANDIKA KWANI KAMWE HAMTAJIBIWA KITU.
 
ila we jamaa bwana. kwahiyo tukae kimya? btw email moja haicost ata mb 2, dakika 10 na ata 10%ya charge
 
Ilo kweli ndugu upo sahihi, hain maan kuwa mtu akifeli hana uwezo wa kufanya kazi haliyokuw ameomba. Mara nyingine uwa wanachukua watu waliopata alama mpaka 70 kwend juu, hii ina maaan kuwa mtihan ulikuwa na usawa na mtu alipat cha kujibu. Ngoja watoe majibu utajionea majanga waliokusudia ktk utungaji uliozingatia ufelishaji tu. Mfano HRO maswal 2 ktk topic 1 wakat waliita wat waliosom Sociology, HRM, Manpower Planning na Public Administration.

Jamaa wamezngua yan.. Na wenyewe wanajua fka
 
jamani mm sielewi tz tunaelekea wapi ivi kama kila mtu ambaye yuko kazi akimwita ndugu yake je, sisi watoto wawaklima?
 
Back
Top Bottom