Usaili utumishi transport officer

Usaili utumishi transport officer

manjoge

Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
18
Reaction score
10
Jamani wadau wenye uzoefu nimeitwa kwenye oral utumishi kada ya transport officer huwa wanauliza maswali ya namna gani me ni mchumi so siko vizuri sana kwenye transportation
 
Sasa hujasomea transport hafu unataka kuwa transport officer hivi imekaaje hiyo. How will u knw hw to manage vehicles and drivers,oky unajua kazi za transport officer ni zipi
 
Jamani ni kawaida kwa watanzania kufanya kazi usiyosomea kwenye qualification walihitaji watu wa takwimu na uchumi so nadhani walishajua tunafit hapo. Nazijua kupitia tangazo lao la kazi wameziorodhesha but nataka kujua zaidi
 
Je oral ya cooperative officer maswali gani hua yanaulizwa hasa ya profession au general knowledge
 
coop tumeitwa wengi
Wanawataka wengi pia....ila mi sina cha kujibu kwa 7bu sijawah kusoma hata kitu kimoja cha cooperative kwenye coz yangu Chuo.....mwenyewe kujua zaid atujuze
 
watu jamii forums wanapanikisha balaa eti written nyingine watu wote wale...leo zimepigwa zote oral haijalishi uwingi wa watu, na transport officer yale maswal mtu wa course yoyote anajibu, tusipende kupanikishana kama huna idea na swali lililoulizwa humu
 
dugu yangu...
ukipata naomba uniajil,maana napenda sana kusafir,ukinipa kaz ya udrive ntakuona wa maana sana...
kaz za ofisin nmechoka kila siju kuona watu walewale.
nna lesen class A3, B, D na E
 
Back
Top Bottom