tumewachoka nanyie notorious job seekers yaani kila siku kulalama ......................tu
hata kama ni strees za kukosa kazi hapo mmezidishaaa,kama mtihani umekushinda wewe kuna wenzako wameweza watafaulu subiri zamu yako ikifika na uendelee kuomba Mungu
hebu angalia upande wa pili wa shilingi kama ungekuwa umefanya mtihani kwa usahii kabisa haya maneno mabaya usingeyaandika???
pole sana ila jirekebisha acha kulalama mkuu
Hongera mkuu tunashukuru kwa kutuchoka
ukisikiaaa paaaaa! pole sana mpwa ila punguza malalamishiHongera mkuu tunashukuru kwa kutuchoka
ukisikiaaa paaaaa! pole sana mpwa ila punguza malalamishi
usijali mkuu soon kitaeleweka,mm mwenyewe nilisha fanya nao interview sita nikachomoka moja january 2012Poa mkuu...nikipata kazi kamwe hutonisikia nikilalamika
Taja hicho chuo na sisi twende tukapate first class ki ulaini tafadhaliUmekosea sana, Kupata first class au Upper haina maana kuwa wewe ni bright sana kuliko aliyepata pass au lower second, kwa mfano, mimi hapa kazini kuna mdada kasoma IT chuo Fulani Dar, na alipata First class Honor, but katika interview tulimuuliza maswali mbali mbali kwa mfano, What is RAM and what is the functions of it? jamani ni majanga....
Tukamuuliza tena, what is the diference between software and hardware? hapa akatutajia Hardware!!!!(aka-mention)????
Tukasema labda aliyasoma zamani tumuulize vitu current, what is PC? akajibu private computer!!!
Baadae tukampiga chini but amri ikaja kuwa tumchukue yeye na mmoja aliyekuwa na Lower second ambaye alikuwa very bright, huyu lower ndye anayemfundisha kazi.