Weka email au no yake nimtumie "possible qns"
Hapana brother marks hazikutosha! But alisema unapiga aptitude text online! Ukianza swali huna access yakurudi nyuma,ukirudi nyuma tu wanaku bkock!Mdau mkeo alipita kwa huu usaili??? Maana nam nimeitwa next week anipe posible questions
Habari wadau
Wife kaitwa kwenye usaili wa UNDP Tanzania tarehe 27/11/2015,siku ya ijumaa,Post ya Assistant Finance
Kama ulishawahi fanya usaili wao,post yoyote naomba umusaidie wife....!! Natanguliza shukrani za zati
Niliamua kumpotezea tu mkuu wangu! Sikupenda kabisa bundasiliga