Asante sana mkuu wangu!!!
Niliwahi kufanya interview ya project officer hapo, mara nyingi mnaanza written interview ya masaa ma2, wanaofanya vizuri wanaitwa kwajili ya oral ya saa1, mara nyingi maswali yao yanajengwa na misingi ya scenarios, na sio direct questions, kwahiyo, wanaandaaga maswali yenye changamoto katika scenarios fulan. All the best.
Wameniambia niende na kikokotozi (calcurator)
Hata hivyo soma vizuri job description itakupa mwangaza wa namna ya mtu atafutwaye kwa nafasi hiyo...Naombeni msaada wenu kama ulishawahi piga nao usaili wa kazi yoyote!!
Duh!!! hadi kwenye umombo bado mnatumia tu mnachanganya matumizi ya 'r' na 'l'...hatari sana!!!
Hata hivyo soma vizuri job description itakupa mwangaza wa namna ya mtu atafutwaye kwa nafasi hiyo...
Uzuri wa ofisi kama hizo huwa hazina watu wengi wanaoitwa kufanyiwa interview, hili huondoa mchecheto kwa waska kazi...
Mambo mengine ya kuzingatia ni kuwa nadhifu, kama ni oral interview basi jitahidi ujibu kwa kifupi lakini kwa kueleweka...
Kama umeulizwa swali na hujalielewa una haki ya kuomba ufafanuzi zaidi...
Kila la kheri!!!