Usaili udsm.

UKAWA2

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
2,182
Reaction score
1,972
Jamani naombeni kujuzwa kama Udsm wameshaita watu kwenye usaili wa nafasi za kazi za kitaaluma na kada nyinginezo zilizotangazwa july mwaka huu.mimi niliomba lakini mpaka sasa sijawahi kuona hilo tangazo la usaili kwenye website yao au watu wameitwa kimyakimya?.Mwenye taarifa tafadhali...
 
Waliitwa watu wa tutorial uzi upo humu humu zingine sijui
 
Duuu kitambo mpaka tumeshasahau kama tuliomba jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…