Usaili TPB

Usaili TPB

marikizz

Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
30
Reaction score
8
Jamani kama kuna mtu anajua TPB Wameita watu wangapi kwenye usaili wa CREDIT OFFICER GROUP LENDING ANIJUZE,na pia hivi inawezekana ukautwa kwenye usaili wa nafasi ya degree wakati wewe ni diploma ingawaje uliaply ?
 
Kama walisema Degree halafu una Diploma Usipoteze Nauli.
 
Back
Top Bottom