mkulima maskini
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 254
- 50
wanajamvi nimeitwa usaili TCCIA naomba kujua package zao za mshahara ngazi ya degree? na nn wanahusika nacho na je ni private au government agency? na vp wana fursa gani? msaada wandugu.....[/I]
OK, vp jamaa wakoje?
OK, vp jamaa wakoje?
nakuhakikishia uwezi kupata kazi kwa akili yako ilivyo
ungekuwa wewe ungemjibu nini? mtu anakuwa hajielewi hata kwa kipindi hiki cha googleAaaa bwana sasa unamkatisha tamaa tena we mwelekeze vizuri