Ivyo ni vitu vya kawaida sana kupimwa ata JWTZ hupima ivyo!
Angalau wameanza chukua graduates maana kuna polisi huwa nakosa imani na elimu zao kwa maamuzi wanayochukua
kumbukeni kuna mazoezi mazito sana chuoni. sasa msije kuwa mnataka kuua watu. ukiwa unfit kazi ya jeshini sikushauri, utalaum watu bure
Nimepata taarifa kuwa watu waliokuwa wakifanyiwa usaili pale Polisi wameshindishwa njaa tangu asubuhi hadi usiku wa saa moja.
Polisi mjirekebishe iweje mnawatesa vijana wa kitanzania kiasi hicho mjirekebishe.
maswali yalikuwaje mkuuMAJINA HAPAO
Tanzania Police Force
Tanzania Police Force
Tanzania Police Force
Kwa mawasiliano zaidi piga simu: 0713 240480, 0783 392277, 0767 571499, 0713 571499, 0789 204377.
update,
kwa taarifa nilizonazo tayari watu wanaendelea na usaili pale chuo cha polisi, kurasini kilwa rd wanaita wenyewe
UPDATES.
Interview ilimalizika lakini kilichowakuta graduates watasimulia wenyewe. Kifupi ilikuwa hivi,
1. waliofika kwa ajili ya usahili graduate mchanganyiko walikuwa 1,400s, waliotokea pande zote za Tz.
2. Siku ya kwanza ya usaili walipimwa afya na mambo mengine
3. walifanya mtihani written, yakapatikana majina 180 hivi kwa ajili ya usaili wa pili. sijajua kwa nini walichukua 180 kati ya 1400s
4. walifanya oral, majibu ndo yanasubiriwa.