Nimefika hapa Polisi College, kuna watu wengi sijapata kuona.
Utaratibu wao ni kama ifuatavyo.
Leo wanapima afya, urefu, tatoo, kama unangoma. Nawasilisha
Mkuu zilitangazwa bana!mbona haikutangazwa? au ndugu tu ndo wana taarifa
ANAKAA WAPI HUYO MDOGO WAKO?Wakuu kuna mdogo wangu anataka kwenda huko kwenye usaili, hebu niambieni hiyo polisi college ipo sehemu gani??
Hii ni kinyume na sera ya utumishi wa umma!!!!
Nimefika hapa Polisi College, kuna watu wengi sijapata kuona.
Utaratibu wao ni kama ifuatavyo.
Leo wanapima afya, urefu, tatoo, kama unangoma. Nawasilisha
mbona haikutangazwa? au ndugu tu ndo wana taarifa
Kinyume ni kukataa kumuajiri lakini kupima si kinyume. Ajijuwe.