Usaili kwa tuliomba uhamiaji ni lini?

Usaili kwa tuliomba uhamiaji ni lini?

H.M.MUYANGO

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
110
Reaction score
9
Naomba taarifa rasmi ama tetesi za lini watu tutaitwa kwa ajili ya usaili idara ya uhamiaji?kama mtu anayefuatilia tupeane habari jamanii matumbo joto hatujui nini hatma yetu kwenye ajira!
 
Nasikia tar.21/04/2014 ndiyo watatoa majina...ila kwa uhakika zaidi ngoja waje wenyewe.
 
mkuu huwezi itwa hivi hivi wakati mchujo haujafanyika...

kuwa na subira..
 
Hizi ajira watapewa wengi ni police kwa kuwa kabla hazijafika uraiani police walipata taarifa hasa Maafisa na wakuu wa vituo hasa wale wenye vyota 3 , 2, hizi ni taarifa za uhakika nilipouliza kwa nini? Akasema ndani ya jeshi la police kuna wasomi ambao wanafiti katika hizi kazi ambao wengi ni andergraduate waliojiunga na jeshi la police.
 
Sijakuelewa una maana gani...fafanua polisi wanahusika vipi hapo na ajira za uhamiaji?
 
Hebu nijuzeni na mie kwani wanaoenda huko wanakuwa na sifa gani???
 
Hio ni wizara Moja ambayo ni wizara ya mambo ya ndani

Hilo linajulikana...mimi nimeuliza kuhusu polisi kufanya kazi za idara ya uhamiaji inawezekana vipi...sikia kiongozi nikwambie kitu ni kweli uhamiaji,polisi,magereza,zima moto na idara zingine kama hzo zipo ndani ya wizara tajwa hapo juu.
Lakini kila idara ina utaratibu wake wa ufanyaji kazi,kazi za idara ya uhamiaji zinafanywa na maafisa uhamiaji vivyo hivyo kazi za polisi zinafanywa na polisi wenyewe...si vyema kuzungumza kitu usichokifaham kiongozi ni vizuri ukauliza and then ukuja na vitu vilivyo sahihi...otherwise your lost.
 
Kweli.hajui anachokisema,ni sawa na kusema askari magereza ahamie jeshi la police eti kisa wako wizara 1
 
Hilo linajulikana...mimi nimeuliza kuhusu polisi kufanya kazi za idara ya uhamiaji inawezekana vipi...sikia kiongozi nikwambie kitu ni kweli uhamiaji,polisi,magereza,zima moto na idara zingine kama hzo zipo ndani ya wizara tajwa hapo juu.
Lakini kila idara ina utaratibu wake wa ufanyaji kazi,kazi za idara ya uhamiaji zinafanywa na maafisa uhamiaji vivyo hivyo kazi za polisi zinafanywa na polisi wenyewe...si vyema kuzungumza kitu usichokifaham kiongozi ni vizuri ukauliza and then ukuja na vitu vilivyo sahihi...otherwise your lost.

tayar kajifunza kitu,kama ni hvyo basi ningejua kila taarifa ya uhamiaj maana naish na ofisa wa polisi hapa ila anakuambia hajui hadi aulize.
 
Hizi ajira watapewa wengi ni police kwa kuwa kabla hazijafika uraiani police walipata taarifa hasa Maafisa na wakuu wa vituo hasa wale wenye vyota 3 , 2, hizi ni taarifa za uhakika nilipouliza kwa nini? Akasema ndani ya jeshi la police kuna wasomi ambao wanafiti katika hizi kazi ambao wengi ni andergraduate waliojiunga na jeshi la police.

duhhhkama ndiyo hivyo wangeweka kuwa nayo ni sifa ili tujue b4 hawazitangaza
 
Nasikia tar.21/04/2014 ndiyo watatoa majina...ila kwa uhakika zaidi ngoja waje wenyewe.

Kungoja kuitwa tu unapata tumbo joto je siku ukikalishwa mezani kuulizwa maswali itakuwaje hadi hapo nikuvua nyota mpwa wangu uoga si dili jitahidi kuwa na imani kuwa mambo yatakuwa safi tu kwa kila ila je can you sell what a buyer want, ndio tatizo la job seeker wa tanzania wengi unaitwa mwenyewe first class mezani unajichanganyachanganya
 
Kula bata bado sana mkuu

kwa muda huu ngoja niendelee kula vumbi kwa sababu ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli, maana hapa jf kila mtu anatuletea funguo zake kumbe kufuli ya immigration hawaijui ila wewe waache kujifanya wanajua sana siku ya usaili nitakuwa nawang'ong'a tu waache waje na midevudevu yao waone
ivi we dada umeolewa ,usimaindi sana nataka tu kujua funguo wangu :eyebrows:
 
Back
Top Bottom