Usaili JWTZ jamani

nyamatoke

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
31
Reaction score
3
wadau mimi ni miongoni mwa wahitaji wa hiyo nafasi,nimeenda mpaka kwenye kambi moja leo,nilichoambiwa ni kwamba,walioko depo wanatoka mwezi ujao na wakanambia kuhusu usaili hawajui maana wao wanapelekewa watu kwenye kambi.kama kuna mtu anafahamu usaili kwa wale walomaliza elimu za vyuo vikuu jamani tujuzane,kwa msaada wamenambia kwa wale wa digrii c rahic kupelekwa jkt.
 

mkuu, unaonekana hutaki jeshi cku hz hamna nafac za directly jwtz n lazima upitie uko jkt
 
si amekwambia wamemwambia kuwa kwa graduate s rahisi kupitia jkt, hebu soma post yake vizuri!!!

hawakukosea walipomwambia graduates siyo rahisi kuingia JKT! Maana ya hiyo statement ni kwamba nafasi za JKT kujitolea zinazopitia mikoani na wilayani huchukua form 4 wengi form 6 wachache sana na la 7 wachache saaana! Hii haimaanishi kwamba hamna graduates wanaoingia JKT! Wapo ila wengi huwa watoto wa wanajeshi au either wana ndugu maofisa au askari makao makuu so wanawapa fomu mkononi bila kuwapitisha kwenye usaili wa wilayani hao ndio wanaitwa baba kanituma na JKT gradutaes wapo wa kutosha tu sasa labda nikushauri tu kama una degree yako na huna mtu makao wa kukupa fomu mkononi ni bora usubiri usaili wa wilayani lakini tumia cheti cha form 6
 
kama mtu unayo diploma unaombea na cheti gani wakati 4m 6 ujafika
 
lazima upitie jkt no matter una degree au diploma pia mpaka january watatoa ajira mpya
 
lazima upitie jkt no matter una degree au diploma pia mpaka january watatoa ajira mpya[/QUOTE]
 

Acha usumbufu wewe kwani thread ile uliyoanzisha haikutoshi mpaka uweke bandiko lako kwenye post za wenzako?unazingua bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…