Wanajamvi, nimeitwa katika usaili na kampuni tajwa hapo juu. Kwa nafasi ya Ofisa Usambazaji hivyo kwa yeyote aliewahi fanya nao usaili/kazi kwa nafasi hiyo anaweza nisaidia maswali wanayoweza kuniuliza na huwa wanapendelea usaili wa aina ipi? Je wanalipaje hawa ndugu.
Naomba msaada kwa wenye uelewa na kampuni hiyo.