Kwa ambaoo ni wazoefu wa kufanya usaijili pale DUCE, kwa maana ya written and oral interview naombeni uzoefu wenu wa maswali, na mbinu mlizotumia mkafanikiwa kupita, kwenye mchujo mpaka kuajiliwa.
Haya ukifika duce uwe na heshima sana waamkie walinzi kisha ingia ketini tembea taratibu ukiona uchafu okota katupe au weka kwenye dustbin kaa zako kimya chini ya mti usiongee ongee ovyo, utashangaa umeitwa umeshafaulu na kupata kazi teyar.