Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 67
Waheshimiwa naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu aliyefanya vizuri sana kwenye mtihani wa mchujo baadae akaja kukosa kazi na akapata let say mtu aliyekua wa 3 au wa 4 kwa maksi kwenye mtihani wa mchujo?