Usahihi kuhusu BRELA


Mkuu huna hoja unalalamika tu bure. Na ni kwa nini hutaki kufanya registration, unaogopa nini kuweka details zako, au sio msafi katika shughuli zako?
 
Hivi unajua mfanyakazi unapoharibu unaharibu image nzima ya kampuni/taasisi mana nawe unakuwa upo ndani ya system
 
kweli bana hata mimi nimewaona kwenye tovuti yao. wapo Simuyi waelimisha, kuhamasisha kurasimisha biashara na pia wasajili papo kwa hapo. pia nimeona simu zao zipo kwenye tovuti. big up! ila wakaze buti bado
 
Umenena kweli kabisa mkuu kwani brella kupo safi sana huduma ni bora kabisa.
 
Kwanza zile verifications ilikuwa ni source yao ya rushwa! Unakuta ukipeleka docs officially... na makaratasi matupu bila senti ya chai; unaweza kusubiria miezi kadhaa bila kurudishiwa majibu lakini mfanyabiashara akiamua kwenda mwenyewe kufuatilia, anaipata ndani ya wiki moja!! Kwahiyo tulikuwa tunalazimika kuwaambia ukweli kwamba wale jamaa ukiwapelekea docs, sahau lakini kama utaweza ku-push; do it! Na kweli wakifanya hivyo tu; mzigo huo hapo!
 
BRELA acheni WIZI
kwanini msitumbuliwe
Wizara ya Viwanda na Biashara imehamia Dodoma ninyi bado mpo Dar na hata Mikoani hampo
Fomu zenu za Online hazifanyi kazi kabisa
Process ni ndefu maana unatakiwa ujiunge kwanza Online na password
sasa Wafanyabiashara ndogondogo wanaanzisha vikundi kupata tu jina kazi
jirekebisheni au MTUMBULIWE
 
Brela kuna siri nzito sana

I doubt Kama Rais anaweza kulitumbua hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…