USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

Naweza pata CV ya huyu Mwenyekiti wa bavicha Mkoa wa Mbeya
 
hakuna kijana mwenye akili timamu akajiunda na ccm, kwanza ccm hakuna vijana, kama yupo basi mzaz wake ni kiongoz ccm, au ni mchimia tumbo wa ccm
 
umempigia simu akutumie kataarifa cha kijinga kwenye inbox yako cha kukanusha anguko kuu...mmeliwa
 
hakuna kijana mwenye akili timamu akajiunda na ccm, kwanza ccm hakuna vijana, kama yupo basi mzaz wake ni kiongoz ccm, au ni mchimia tumbo wa ccm

peleka uchaga huko wewee..unaandika andika pumba jukwaani...toka huko migombani ungana na wananchi kujenga nchi achana na kitochi, kitakubabua mdomo
 
niko hapa mwanjelwa kuna vijana zaidi ya 100 wametoka chadema na kuhamia ccm

chadema ni wanafiki nimehakikisha mwenyewe na watu nawafahamu wamehama kweli au mnantaka tuwe tunaweka na majina na kadi zao mpya
 
unataka jibu gani sasa kwani juliana shonza siyo wa mbeya.

Hata mkanushe namna gani vijana wa mbeya wameelimika wanajua viongozi wa chadema wanawatumia.makundi kwa makundi wanarudi ccm habari ndio hiyo .
 
CCM imefikia hatua mbaya sana ya Kujitekenya kisha kucheka wenyewe!!
 
Kwa Mbeya ninayoifahamu mimi,sidhani kama hilo ni rahisi kihivyo.
Huo mchezo wa kuigiza, majibu yake ni mwakani.
 
Hata mkanushe namna gani vijana wa mbeya wameelimika wanajua viongozi wa chadema wanawatumia.makundi kwa makundi wanarudi ccm habari ndio hiyo .

Wana ccm mtasubiri sana kama ndoto zenu ndio hizo kwa mbeya!
 
Safi sana kamanda kwa kuweka mambo sawa. Maccm yanahangaika sana kujaribu kujiokoa. CHADEMA ni imara mara milioni elfu nyingi
 
Molemo naweza pata CV ya huyu Mwenyekiti
 
Last edited by a moderator:
wanachama wengi tu wa Chadema wamehama ushahidi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…