USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

USAHIHI: Hakuna Mwana-CHADEMA aliyehamia CCM Mbeya

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MKOA WA MBEYA

TAARIFA KWA UMA
kutokana na habari iliyo ripotiwa na gazeti la majira toleo la leo septemba 22 lenye kichwa cha habari "Ccm Mbeya yavuna vijana 79" hii ni taarifa ya uzushi haina ukweli wowote ,inalenga kuwa hadaa wananchi iliwaamini kuwa chama kinayumba.

Hakuna kijana hata mmoja wa chadema aliyehamia Ccm aidha ofisi yangu imesikitishwa na kitendo cha gazeti la majira kuandika taarifa ambazo wanatambua wazi kuwa siyo za kweli bali ni mashinikizo ya watu wa flani katika harakati za kijaribu kupambana na chadema.

Wito wangu kwa waandishi wa habari nawasihi wafanyekazi kwa kuzingatia maadili ya taaluma zao na kuacha kuacha kutumika na watu wachache wenye maslai yao binafsi kitu ambacho ni hatari kwa taifa letu.

Pia nawasihi wanachadema wote ndani na nje ya mkoa wa mbeya tuwe makini na watu ambao hawana mapenzi mema na chama chetu,tuendelee kufanyakazi ya ujenzi wa chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015.

Imetolewa leo septemba 22,2014
na,
George Tito

Mwenyekiti wa Bavicha
Mkoa wa Mbeya.
 
Waliojiunga na CCM tulijua ni wanaccm wenyewe........ Akili kumkichwa
 
Mbeya yangu nawanachadema wetu walivyo lelewa hakulelewa kuisaliti CHADEMA kawa watoto waliopata malezi yamkono mmoja nakufanya ujinga huu hawezi tokea kwani wanajuwa maisha walionaya baada ya CHADEMA kushika jiji niwaambie mkuki haupigwi kwenzi mtasumbuka sana nambeya namtahangaika sana hatapakitu mtaambulia manyoya yamwisho ndani yakuku waenyeji wakitoweo hii ndio CHADEMA usigope ukubwa wasamaki uliza bei jinsi tulivyoijenga CHADEMA MBEYA tujuwa wenyewe.
Kajipangeni upya lasivyo mangula ludi kalime nyanya
 
CCM wanapenda sana kujikaanga na mafuta mafuta yake!!!!!wanatengeneza kadi fake na kuzirudisha kwa watu fake(ccm)!!!!!!!
 
Kaulimbiu yetu... Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na tutamaliza na Mungu.. Huko nikuweweseka kwa ccm
 
Tuko sawasawa kuliko ccm na mamluki wao wanavyo fikiri. Ndio maana unaona wengi baada ya kushuhudia mkutano mkuu na kilicho jiri pale mlimani city wamekuwa wapole.

Tunawakanyagia chini..

Ni kweli mkuu.Mkutano mkuu wa Chadema umewaacha CCM na vibaraka wake uchi wa mnyama.
 
Tuko sawasawa kuliko ccm na mamluki wao wanavyo fikiri. Ndio maana unaona wengi baada ya kushuhudia mkutano mkuu na kilicho jiri pale mlimani city wamekuwa wapole.

Tunawakanyagia chini..

Ile process ilikuwa shule tosha kwa tapeli CCM
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MKOA WA MBEYA

TAARIFA KWA UMA
kutokana na habari iliyo ripotiwa na gazeti la majira toleo la leo septemba 22 lenye kichwa cha habari "Ccm Mbeya yavuna vijana 79" hii ni taarifa ya uzushi haina ukweli wowote ,inalenga kuwa hadaa wananchi iliwaamini kuwa chama kinayumba.

Hakuna kijana hata mmoja wa chadema aliyehamia Ccm aidha ofisi yangu imesikitishwa na kitendo cha gazeti la majira kuandika taarifa ambazo wanatambua wazi kuwa siyo za kweli bali ni mashinikizo ya watu wa flani katika harakati za kijaribu kupambana na chadema.

Wito wangu kwa waandishi wa habari nawasihi wafanyekazi kwa kuzingatia maadili ya taaluma zao na kuacha kuacha kutumika na watu wachache wenye maslai yao binafsi kitu ambacho ni hatari kwa taifa letu.

Pia nawasihi wanachadema wote ndani na nje ya mkoa wa mbeya tuwe makini na watu ambao hawana mapenzi mema na chama chetu,tuendelee kufanyakazi ya ujenzi wa chama kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2015.

Imetolewa leo septemba 22,2014
na,
George Tito

Mwenyekiti wa Bavicha
Mkoa wa Mbeya.
 
niko hapa mwanjelwa kuna vijana zaidi ya 100 wametoka chadema na kuhamia ccm
 
TUNASEMA HIVI , 2015 TUNAENDA KUIFUTA kabisa ccm mkoa wa mbeya , UTOKE CDM ( CHAMA CHA KISASA ) UINGIE CHAMA CHAKAVU KWA LIPI HASA ?
 
Huko mbeya geita umehama lini au ummechoka kumpakazia mawazo kamanda kuwa kabaka, geita umetoka lini ??

Ni gendaeka tu, anayee yaamini magazeti haya, majira,habari leo,uhuru, mzalendo, na hoja,ni bora kusikiliza mizaa ya wemaaa na daamondy.
 
Hakuna kijana anaweza toka cdm kwenda ccm ila hela zao tunakula kura kwa cdm....
 
Ni gendaeka tu, anayee yaamini magazeti haya, majira,habari leo,uhuru, mzalendo, na hoja,ni bora kusikiliza mizaa ya wemaaa na daamondy.

asubuhi nilifungiwa chapati kwenye kikaratasi cha jambo leo , HAKIKA NIMEMPA NYAU ALE !
 
magamba wameishiwa hoja sasa wanaweweseka kwa kuwatumia makanjanja kutunga uongo dhidi ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom