Usagara boys njooni hapa tupige stori

Usagara boys njooni hapa tupige stori

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
Habari wanaJF,
Hasa wale mliosoma Usagara
Karibun tujikumbushe mambo mawili matau tuliyoyapitia

nimewamiss................ticha kisinza,seth,na wengine wengi
nimemiss ile system ya self service kwene msosi kwa a levels
nimekaaaaaa sana park hostel room no m9 chumba pekee kilichokuwa na cable ya kuchajia simu
nimewamiss watoto wa euckenford.............dah nakumbuka nilikuwa na mtoto wa diploma pale.......watoto wa alkher walikuwa wanatuchungulia saana.dah!!!!!!!
hivi issue boy bado anapiga pindi pale.................
karibun wadau tuijkumbushe....old is gold
 
Mi nimebahatika kufundishwa na sir Seth pale mnyanjani sec dah alikuwa na vituko vya aina yake ,
teacher seth alikuwa na vituko balaa nakukbuka alikuwa anapewaga hela akalipie dstv anazipiga juu kwa juu
 
Write your reply... wapi Tangamano, mkwakwan , Raskazone hatar sna
 
Back
Top Bottom