Usagaji tatizo lililojificha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
Usagaji ni hali hali ya mwanamke kumfanyia mwanamke mwenzake vitendo vya mapenzi na ngono

Ni sawa na kusema usenge au kwa wanaume, na kama ilivyo kwa wanaume kuwa kuna ------, basha na msengebasha au bashamsenge vile vile kwa wanawake kuna wasagaji, wasagwaji na wasagajiwasagwaji

Usagaji una viasili vingi lakini vinavyojulikana sana ni kutokana na binti kulindwa kupita kiasi na wazazi, walezi au walimu shuleni, woga wa wanaume na kupata mimba, kuiga nk ...lakini pia kuna wale walioingia kwenye usagaji kutokana na kutendwa kwenye mahusiano yao na wanaume na hivyo kujikuta wwanawachukia kabisa wanaume

Wanakuwa hawana jinsi sasa ya kutimiza haja zao za kimwili hivyo hujikuta wakitumbikia kwenye kundi hili

Pia kuna wale waliosema hawataki wanaume mpaka wamalize masomo kumbe kisirisiri wako kwenye usagaji, wamemaliza masomo na wako kwenye ndoa lakini wameshindwa kabisa kuacha

Kwenye jamii yetu ya leo tuna wasagaji wengi sana wengine wakiwa wenye nyadhifa naheshima kubwa katika jamii

Usagaji ni tatizo kama ushoga tupaaze sauti zetu kukemea
 
Hili swala kweli lipo sana sema watu halichukulii kihiivyo kama ushoga
 
Some people just born gay.....hizo nyingine ni sababu ulizozileta hapo juu ni visingizio tu. Kufungwa sijui mimba sioni ni tatizo atleast for me kupeleka mtu ajiingize kwenye hii shughuli. If there is genuine why would one need #fakezone # business!

On more serious note; malezi na malezi...wazazi muwe makini na watoto, uwe rafiki yako ili iwe rahisi kugundua kitu chochote. Ni muhimu kujua marafiki zake ... mazingira mengine huwa ndio chanzo kikubwa cha kupelekesha mtu anajiingiza kwenye matatizo haya.
 
hivi naweza kueleweshwa usagaji unafanyikaje? yaani wanaridhishana kivipi? kuna tools maalum mmoja anatumia kuwa kama mwanaume au inakuwaje?
 
MadameX is it true that some are born gay?..
How does one know that they are gay, i mean.. this doesn't make sense to me!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…