Usafirishaji wa mizigo mikoani

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
Jamani wadau naomba mnisaidie naweza kupata
wapi kampuni inayosafirisha mizigo na bei ni nafuu
na mizigo inafika salama hata kama ni delicate .
Nataka kusafirisha vitu frm mbeya to dar.
Vitu kama makabati.. Fridge....
Asanteni
 
Kuna kampuni inaitwa NARHABA LINKS ila sijui kama wanazo route za Mbeya to Dar, ila ni wazuri pia wapo cheap .
 
hata posta wanatoa Huduma hiyo fika ofisi yoyote ya shirika la posta
 
Back
Top Bottom