Ndugu wanaJF,
Kumekuwa na kelele nyingi sana kwamba "dereva wa Bus hawafahamu abiria wote". Kwamba wasafirishaji wa mizigo ya meli hawafahamu shehena walizobeba. Sio Kweli
Tuanze na utaratibu wa Percels: Unapopeleka percel DHL, EXPRESS MAIL etc lazima useme kilichopo ili kikipotea waweze kujua namna ya kukulipa.
Utaratibu wa Meli: unapotaka kukodisha container lazima useme unakwenda kupakia mzigo wapi ni nini kitakachokuwepo kwenye container n.k wanaoseal container na shipping line/agency na kuanza mchakato wa kuandika Bill of Ladding inayoitemise kila kilichopo kwenye container.
Wakati wa ufungaji wa container government agencies including usalama wanakuwepo kuhakiki ikiwa ni pamoja na kufanya container scanning pale wanapokua na wasiwasi kilichopo ndani ya container ni material ambayo hairuhusiwi kusafirishwa katika meli za kawaida na bila kibali maalum. Mfano explosives, vifaa vya kijeshi n.k
Sasa Basi: Je Kinana shipping line walizingatia taratibu zote za usafirishaji wa mizigo nje ya nchi? Kama ndio walishindwaje kubaini mzigo uliokuwepo?
Kama kinana shiping agency hawakufuata taratibu kwa nini hawajafungiwa? TUAMINI WALIPIGWA FINE YA UZEMBE
Je mbona suala hilo limejirudia tena? same mzigo same destination?
HII NDIO SABABU YA MSINGI KINANA KUENDELEA KUHUSUSHWA NA BIASHARA HARAMU YA UJANGILI.