5 5Sauzande Member Joined Mar 29, 2025 Posts 5 Reaction score 9 Apr 8, 2025 #1 Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
Wakuu nauliza vibali maalamu vinavyohitajika kusafirisha mazao kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni vip nisaidie hapo
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,310 Apr 9, 2025 #3 *Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao.
*Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao.
5 5Sauzande Member Joined Mar 29, 2025 Posts 5 Reaction score 9 Apr 9, 2025 Thread starter #4 Leseni ya kusafirisha mazao Supu ya kokoto said: *Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao. Click to expand... Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao
Leseni ya kusafirisha mazao Supu ya kokoto said: *Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao. Click to expand... Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,310 Apr 10, 2025 #5 5Sauzande said: Leseni ya kusafirisha mazao Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao Click to expand... Nenda tra usisahau na kibali cha halmashauri
5Sauzande said: Leseni ya kusafirisha mazao Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao Click to expand... Nenda tra usisahau na kibali cha halmashauri
wakunyonya JF-Expert Member Joined Feb 5, 2024 Posts 953 Reaction score 2,288 Apr 10, 2025 #6 5Sauzande said: Leseni ya kusafirisha mazao Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao Click to expand... Mim nidhan lesen ya kusafirisha mzao wanakuwa nazo wale wenye magari kama sikosei means mwenye gari inatakiwa akate kibali Cha kusafirisha huo mzigo
5Sauzande said: Leseni ya kusafirisha mazao Leseni ya kusafirisha mazao Ina gharama kiasi au inategemeana na kiwango Cha mazao Click to expand... Mim nidhan lesen ya kusafirisha mzao wanakuwa nazo wale wenye magari kama sikosei means mwenye gari inatakiwa akate kibali Cha kusafirisha huo mzigo
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,653 Reaction score 20,959 Apr 10, 2025 #7 Supu ya kokoto said: *Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao. Click to expand... Kama nimelima mwenyewe!
Supu ya kokoto said: *Stakabadhi uliyolipia ushuru. Hapa inaeleza mazao yanakokwenda. *Leseni ya biashara ya kusafirisha mazao. Click to expand... Kama nimelima mwenyewe!
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,609 Reaction score 8,310 Apr 10, 2025 #8 Kimwakaleli said: Kama nimelima mwenyewe! Click to expand... Inategemea Una mazao kiasi gani.
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,653 Reaction score 20,959 Apr 10, 2025 #9 Supu ya kokoto said: Inategemea Una mazao kiasi gani. Click to expand... Sawa Mkuu