Mgengeli Senior Member Joined Sep 23, 2011 Posts 193 Reaction score 13 Oct 24, 2012 #1 WanaJF,Mimi nina gari semitraller mpya natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoa kama mwanza,kigoma,sumbawanga na sehemu zingine za nchi yetu ya Tanzania,tela ni flatbed napakia mwishi ton 33,kama kuna mtu mwenye mzigo ani PM
WanaJF,Mimi nina gari semitraller mpya natafuta mzigo wa kusafirisha kwenda mikoa kama mwanza,kigoma,sumbawanga na sehemu zingine za nchi yetu ya Tanzania,tela ni flatbed napakia mwishi ton 33,kama kuna mtu mwenye mzigo ani PM