Usafirishaji bidhaa kutoka tanzani kwenda nchi za nje

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,779
Wakuu wa nchi naombeni mwenye kujua ni kitu gani naweza kusafirisha kutoka Tanzania kwenda nchi za nje hasa Ulaya .USA.au bara la Asia .Msaada please.
 
Labda magamba ya nyoka mkuu ,tena yenyewe ukikamatwa na maliasili 15 years sentence
Hii ndio globalization (marginalization to North)
 
Kahawa
Asali
Samaki
Ngozi
Madini
Korosho
Pamba
Karafuu
Iliki
Mdalasini
Njegere
Magogo ya mti
Gundi
Unga
 
Ni muhimu kuliangalia hili kwani sasa ni biashara ya export ni nzuri zaidi
 
Back
Top Bottom