IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Ha ha ha tycoon nineamini kupata pesa na mali ni tofauti na kupata elimu. Ungeingia darasa la fizikia usinge andika hiki ukichoandika. Ushauri usiwasikilize makenika walio kimbia shule kwenda kutumwa spana. Kumbuka huwezi kutoa usichokua nachacho80km/h ya basi ni sawa na 120 km/h ya gari ndogo.
Mlikuwa mnamsifia lugola pambanen sasaUsiku wa juzi tulipita sekenke na Takbiir( Wasafi) ya kutokea Dar-Katoro saa tano kasorobo usiku aisee kuna jiwe lilipiga koo karibu na nilipokaa nikaona vumbi kioo kwisha habari yake.Dereva alipangua gia balaa walikagua kioo Igunga.
Nahisi ule uhuni wa zamani unarudi.
Hivi hiyo speed 80 unayosema kwa basi unaijua au? Usiwe umekaa kwenye siti unaendeshwa unaona ni speed ndogo, dereva ndiyo anajua timing zote za kukufikisha unapofika, na kwa kukuongezea hiyo speed 80 unayoiona mchana usiku inakuwa mara 2 yake kutokana na nature, (madereva watanielewa zaidi) . Sababu usiku macho yanaona mwisho wa taa zako tu sio zaidi ya hapo.
80km/h ya basi ni sawa na 120 km/h ya gari ndogo.
According to automobile engineering technology is concerned that's impossible80km/h ya basi ni sawa na 120 km/h ya gari ndogo.
Malizia kisa Mzee Baba...inaelekea moyo ulidundia kwenye kioo cha gari cha mbele.Miaka ya nyuma kidogo nilianza safari saa sita usiku na Cresta Gx 100 nikitoka Dar kuelekea Arusha...nilipokaribia Wami nikakuta Fuso zinasubiriana kwa ajili ya usalama, nikawona waoga tu hivyo nikaendelea na safari.
Kufika Wami katikati ile kucheck njia yote imefungwa na yale matenga ya nyanya ya mabanzi! Wakati nafikiria cha kufanya ghafla nikaona watu kama ishirini wanakuja na mapanga huku wamebeba tochi na silala mbali mbali wakisema "simama wewee" dah! Ilikuwa noma sana.
How 80km/h iwe sawa na 120km?80km/h ya basi ni sawa na 120 km/h ya gari ndogo.