Usafiri wa usiku

Mkuu malizia mkuu
 
Mbona unazingua mkuu,mbona hujamalizia ilikuaje
 
Embu madereva tusikitike kidogo..!!;chichichichi......
safari za usiku mwendo ni ule ule Wa ngiri break mti..over.
 
Reactions: R.K
Itakua alisimamishwa na akapewa option 2 tu KUFA au KUBAKWA.....na mpaka anaandika huu uzi sasa hivi nadhani tunajua kilichomtokea..Wewe Ni Shujaaa..
Mbona unazingua mkuu,mbona hujamalizia ilikuaje
 
Ukatumbukiza gari mton
 
Asante kwa ushauri mkuu.
Tumekuelewa.
 
HALAFUUUUU!!!!!! Ikawaje?? Ulikuwa wakati mkubwa mmoja akiwa madarakani na mdogo mtu akitafuta kwa bidii usiku. Mbona siku hizi njia saafi tu. Acha woga komaa tu. Hata mnifanyeje, mchana sisafiri. Hizo KM 50 utafika lini Geita from AR??
 
Safari za usiku ni nzuri sana hakuna vizuizi vingi japo kwa gari zenye saloon body uwezo wa kuona mbali unapungua japo sio mbaya sana kwasababu aina nyingi za gari hizo zinachanganya mapema na zinauwezo wa kusimama kwa haraka.
 
Mkuu malizia mkuu
...kutupia jicho upande wa pili nikaona gari ndogo imeanguka (nadhani walijaribu kugeuza kwa ghafla ili kuepuka balaa la jamaa) na walionusurika wakichezea mateso huku wametapakaa damu! Hawa walinipa ujasiri na kujiona nipo karibu na kifo hivyo bora nife kiume kuliko kunyanyua mikono juu inaweza isisaidie vile vile...nilifanya kama napunguza mwendo kuwapumbaza wale wanaokuja na silaha na kisha nikaikanyagia gari na kuyapiga kwa pembeni yale matenga nikayumba na kurudi barabarani na kuondoka kwa mwendo wa roho mkononi.
Muda huo tayari gari ilikuwa inayumba upande mmoja na kutoa milio ya kugonga gonga chini huku bumper likiwa limeachia upande mmoja na niliendelea kutembea kukata vijiji kadhaa mpaka kwenye saa nane hivi za usiku gari ikaanza kuwaka taa ya battery na bado sikusimama maana ilikuwa porini, niliendelea na safari mara ghafla gari ikazima taa zote katikati ya msitu! Nikasema hili ni jaribu jingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…