aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,435
- 20,929
Wakati basi za mwendokasi zinaingia Dar es salaam tulijua italeta ahueni kwenye swala la usafiri wa Umma,
lakini yameleta mateso afadhali ya Daladala mara mia!
Hivi hii inatokana na nini?
Uhaba wa mabasi?
Ratiba za mabasi zisizo tabirika?
Au shida ni nini?
Pia soma ~ Albert Chalamila: Mabasi 99 yataingia Agosti 15, mengine 200 yataingia Oktoba 1, 2025