majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Nataka kwenda moshi noeli, naomba ambao mmeshasafiri mnipe hali halisi ya usafiri, kama ni mbaya nisubiri mpaka ngera ya noeli! Natarajia kuanzia safari yangu bandari ya salama!
usafiri fresh tu andaa 20 mpaka 30 nauli.