ukikosa unga unga tafta tanga au lushoto utafte basi coaster za moshiWapendwa nataka kusafiri kesho nimekosa tiketi ya kesho.
Kwa wale wenye Usafiri binafsi niko tayari kuchangia 30000- 35000 ya mafuta.
Kelele zote humu jf kumbe humiliki ata Vitz....!, ngoja uliwe ndiyo tuheshimiane sasa....!Wapendwa nataka kusafiri kesho nimekosa tiketi ya kesho.
Kwa wale wenye Usafiri binafsi niko tayari kuchangia 30000- 35000 ya mafuta.
Hahahah...! Pole sana kumbe u goma la chuga, ukifika nitafute tukale nyama kwa mromboo..!Sina hata Guta nini vitz
Nadhani unamiliki Range.
Hahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hhahahahahaa nacheka kwa comment sio kukucheka mleta mada.
Ila kuna uzi uliwekwa humu aidha jana au juzi kuhusu kuomba lifti mmoja alikuwa anenda Moshi mwingine Dodoma. Sikufatilia hadi mwisho kama walipata ila natumai watajitokeza wa kukusaidia.
Binafsi kusafiri kwangu ni starehe, naelewa changamoto ambazo kila mmoja anazipitia ila nipo mtu wa kughairi flani hivi kama nikiona mambo hayaendi kuliko nifike kwa tabu bora nighairi au ntapanga leo safari ya mwezi ujao ikifika ni kwenda tuu.
Kila la kheri dadaa.
Wapendwa nataka kusafiri kesho nimekosa tiketi ya kesho.
Kwa wale wenye Usafiri binafsi niko tayari kuchangia 30000- 35000 ya mafuta.
Sasa ulisikia nani mwanamke Bwege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa magari yote yanayokwenda Moshi +Arusha umekosa tiketi kuna jambo walitafuta.
Kutapeli mtu au plan B. Anyway Pole sana !. Tafuta lori la mzigo ukikosa gari private
Kwa ushauri wangu achana na habari za kuchangia mafuta kwa watu usiowajua mwaya sababu kila mmoja ana ubinadamu wake. Kama uko Dsm wahi asubuhi Ubungo kwa kipindi hiki cha sikukuu nasikiaga huwa zipo hadi kosta ambazo zinafika Arusha kwa bei hiyo hiyo ya mabasi makubwa.