Usafiri wa Bus Dar - Dodoma

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,337
Reaction score
21,210
Nahitaji kufika dodoma kutokea Dar nauliza bus ni mpaka nikapandie Mbezi ama kipo kituo kingine? Na muda wa kuondoka ni ule ule alfajiri au hata mchana naweza pata gari?

Naomba kujua na nauli pia kutoka Dar - Dodoma.
 
Nahitaji kufika dodoma kutokea Dar nauliza bus ni mpaka nikapandie MBEZI ama kipo kituo kingine? Na muda wa kuondoka ni ule ule alfajir au hata mchana naweza PATA gar?
Urafiki na Mbezi ni Main! Mara ya mwisho naenda Dodoma nilipndoka saa 4! Nachokua mwisho ilikuwa saa 6 mchana, ila ni kama miaka 4 imepita.
 
Urafiki na Mbezi ni Main! Mara ya mwisho naenda Dodoma nilipndoka saa 4! Nachokua mwisho ilikuwa saa 6 mchana, ila ni kama miaka 4 imepita.
Nauli ilikuwa kiasi Gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…