Usafiri wa basi kwenda Mtwara

Usafiri wa basi kwenda Mtwara

eazy900

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
349
Reaction score
124
Wanajamvi tafadhari naomba anaejua mabasi kutoka Dar to mtwara,

basi gani ni zuri (luxury)

kituo unapandia wapi

Nauli shiling ngapi

muda gani unatumia kutoka dar to mtwara

inawezekana kwenda na kurudi the same day

asanteni
 
KUJA NA KURUDI THE SAME DAY HAIWEZEKANI(labda kwa Prvt car) Gari zuri Luxury Ni J.M linaanzia safari Ubungo, thn Temeke Mwisho na Mbagala rang 3, tiket unapata chmba no 7 pale Ubungo, Mm nipo Mtwara kwa sasa Karibu
 
Luxury JM ,
kwenda na kurudi haiwezekani, kutoka dar asbh kufika mtr ni kuanzia saa nane hv mchana na kuendelea...
 
Back
Top Bottom