Usafiri wa Arusha

Usafiri wa Arusha

mchonga

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
1,233
Reaction score
249
Nilikuwa naomba kujua Bei ya usafiri kwa Bus za Luxury kwenda Arusha ni kiasi gani? Kwenda na Kurudi
 
Kutoka wapi?

*Kolomije
*Kigoma
*Chato
*Manyara
*Dar
*Kampala
*Nairobi
etc
 
Nilikuwa naomba kujua Bei ya usafiri kwa Bus za Luxury kwenda Arusha ni kiasi gani? Kwenda na Kurudi
kuna Tahmeed 2 by 1 nauli ni Tshs 35,000/= Kiyoyozi mpaka unafika Arusha.

Pia kuna Kilimanjaro kwa 33,000 na 36,000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom