Tokez
Member
- Oct 4, 2012
- 72
- 29
Wakuu naomba nitoe kero zangu kuhusu usafiri wa uda kati ya mnazi mmoja hadi kivukoni.Sawa nakubari wanatoa huduma lakini nauli ni kubwa ukilinganisha na umbali wa safari yenyewe.
Nauli sh 400 Ambayo ni sawa na nauli ya ubungo-posta au gongo la mboto-karia koo.
Hebu sumatra tazameni upya kuhusu hili maana kwa sisi raia wa kawaida inatulazimu kutumia sh 800 kufika kivukoni wakati awali tulikuwa tunatumia kati ya 400 na 450 tu kufika huko.Kwa kweli ni kero sana au huu ni mradi wa kigogo fulani?Mtwambie basi.!