Subiri wadau watakupatia majibu sasa hivi, ikishindikana ungo ndugu unahusika na Ni fasta
wakuu msaada wapi naweza pata usafiri nifike dar usiku huu hata iwe fusso ya viazi au gar yeyote ya mzigo.? kesho sa sita inabidi niwe dar.

Shuka lpogoro au Ndiuka au Check point
subiri wenyeji zaidi wakujuze,lakini mkuu kwani ukiwai bus stend ukaondoka na mabus ya saa 12 asubuh si utakuwa dar iyo sa sita(sema usafiri wa bongo hautabiliki kusimama kwa sana njiani). unawai interview nini?
Sijui upo Iringa sehemu gani ila kama upo mjini nenda pale check point kaongee na wale askari watakusaidia kupata gari.!!
wewe nenda ipogolo stand utapata hata malori yanayoenda tz. Kwa uhakika zaidi, nenda pale Check point, ongea na askari pale watakusaidia kukusimamishia malori nk. Hii ndiyo njia pekee. Vinginevyo, hamna haja ya kuwa na hofu, ile barabara iko bize usiku mzima. Ukipata la morogoro sawa ukifika unaunga au unasubiri abood au hood za saa kumi na mbili.Kila la her
nenda checkpoint ongea na askar, waelewa sana wale jamaa.. wish u luck
wewe haupo serious, haiwezekani unasubiri gari ya dar ukiwa stendi kuu iringa! au wewe ni mgeni hapo na huna wa kumuuliza? nenda check point magari kibao ni wewe tu. ungaunga hadi mikumi, au morogoro then panda abood ya kwanza utafika dar saa mbili na nusu asubuhi