Wahindi ndo zao unakuta noah wakishuka kwa hesabu za haraka wanafika hata 20swali linabaki walikaaje wote ndani ya gari? Au tax inabeba hata mtu nane ni shida kwa kweli.