Usafiri: Dodoma-Njombe kupitia Iringa

Usafiri: Dodoma-Njombe kupitia Iringa

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
544
Reaction score
530
Habari zenu wakuu..
Napenda mnisaidie ni basi gani la uhakika linalotoka Dodoma kwenda Njombe kupitia Iringa..??
Natanguliza shukrani kwa msaada wako.
 
Superfeo baba another g wanahuduma mbovu kabisa utajuta kusafr nao.Ni magari yasiyojali muda na lugha chafu kwa abiria
 
Back
Top Bottom