Usafiri Dar kwenda Arusha

Usafiri Dar kwenda Arusha

sumia

Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
35
Reaction score
8
Wadau jamani vipi hali ya usafiri kwa magari kutoka Dar kwenda Arusha. Nina safari ya huko tarehe 28 vipi gari zinapatikana au za shida?

Wanaofahamu naomba wanijuze kama msongamano umepungua.
 
palipumua Jana na Leo,
kesho hekaheka zinaendelea
 
Back
Top Bottom