SIMEON KATATANAMA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 479
- 277
Poleni kwa majukumu wadau.
Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo.
Natanguliza shukrani.