Kilimanjaro Express au Darlux pale ShekilangoAmani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu Arusha kuna mabasi mengi mazuri na huduma bora kabisa...Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo boti pale bandarini huwa inaondoka kila siku asubuhi nakufika Atusha saa 3usiku.
Mkuu mbona unausemea moyo wa aliyeomba msaada? Wewe endelea kulala uwe unatoka zako na Saibaba ya saa Sita ukafike arusha saa tano usiku saaafiiiTatizo magari mazuri ya kwenda arusha yanapakia shekilango alafu yanapita bagamoyo na yanaondoka saa kumi na moja
Hayo mateso ya kuamka saa tisa mi sitaki
God first
Mmmh Marangu Coach?mkuu Arusha kuna mabasi mengi mazuri na huduma bora kabisa...
1. Dar lux
2. marangu
haya mabasi yanahuduma poa tu tukiwaacha wakongwe
Sent using Jamii Forums mobile app
niliacha klm na dar express makusudi, hawa wamebaki na majina tu lkn hakuna huduma bora tena hapo.Mmmh Marangu Coach?
Njia nzima gospel utafikiri wanasafirisha Mapadri..
Zipo gari nzuri,
DAR LUX
KILIMANJARO,
TAHMEED
EXTRA.
DAR X PRESS
Sijapanda siku nyingi hizo gari, Klm nimeiweka hapo kutokana na ubora wa gari zaoniliacha klm na dar express makusudi, hawa wamebaki na majina tu lkn hakuna huduma bora tena hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaahaaaaaaaa...Mmmh Marangu Coach?
Njia nzima gospel utafikiri wanasafirisha Mapadri..
Zipo gari nzuri,
DAR LUX
KILIMANJARO,
TAHMEED
EXTRA.
DAR X PRESS
unaweza kuwa na gari bora lkn ukakosa kutoa huduma boraSijapanda siku nyingi hizo gari, Klm nimeiweka hapo kutokana na ubora wa gari zao
je wanakeep time? maana kuna magari yanasema yanaondoka saa 1 lkn mnajikuta mnaondoka saa 3BM wametoa bus nzuri pia zinaanzia shekilango hapo...
its not a problem kwq sbb mwenyewe sipendi kufika usiku.Tatizo magari mazuri ya kwenda arusha yanapakia shekilango alafu yanapita bagamoyo na yanaondoka saa kumi na moja
Hayo mateso ya kuamka saa tisa mi sitaki
God first
hapana mkuu just naenda kusalimia nyumban after years..