Usafi wa Zitto Kabwe

kinyesi.
 
Zitto ni popo ana hulka ya upopo anatumia formula ya if they don't understand you confuse th,mwanasiasa mwenye ndimi 2 siku zote na mpinga ufisadi pale asipofaidika nao ila pale akimegewa basi yupo tayar kumtangazia mema shetani
 
Mleta mada kama hujanahatika kuolewa fanya hima plz,mambo unayoleta kama ungekua na mume nna uhakika angekushauri kabla ya kupost.

dah wewe mdada unapenda sna kuolewa olewa inaonekana ndoa yako ni changa eh?
 
Hahhahaqhaahh kiongozi wenu au nabii wenu? Mana kuwa na supreme leader(ayatollah)aka kiongozi mkuu sio jambo la mchezo
 
Zitto ni popo ana hulka ya upopo anatumia formula ya if they don't understand you confuse th,mwanasiasa mwenye ndimi 2 siku zote na mpinga ufisadi pale asipofaidika nao ila pale akimegewa basi yupo tayar kumtangazia mema shetani
Ya zitto mnayaongea kwa kujiamini, mkiulizwa muelezee usafi wa Lowassa mnabaki kusingizia mahakama.
 
This a matter of time of all dirty leaders zzk can't be excluded in that list!he is a shame and disgust
 
Ya zitto mnayaongea kwa kujiamini, mkiulizwa muelezee usafi wa Lowassa mnabaki kusingizia mahakama.

lowasa ni raia wa kawaida mnamuogopa nini?mkamateni basi mwizi.mku yupo msoga mmebaki kupiga umbeab tu,zitto ndio.aliesema kitilya na dau.ni watu safi.na wa kuigwa
 
Zitto ni Mzito,kila mara kivuli chake kinawatesa makuwadi wa ufisadi,

Siwewe uliekuja hapa kutuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi ?

Si wewe uliekuwa unamsifia Slaa kuwa ni Jembe na leo unamtukana?

Zitto kwq sasa yupo Havard nchini marekani akiendelea kujinoa kuelekea Bunge la bujeti.

Subiri nyundo zitakazo tolewa na Mzalendo Zitto ndipo utakapo zaa hiyo mimba yako ya Chuki
 
lowasa ni raia wa kawaida mnamuogopa nini?mkamateni basi mwizi.mku yupo msoga mmebaki kupiga umbeab tu,zitto ndio.aliesema kitilya na dau.ni watu safi.na wa kuigwa
Mbowe ndiye aliyesema kuwa Lowassa hafai, ni fisadi......

Basi na nyie msiishie tu kumsema zitto mpelekeni mahakamani.
 
This a matter of time of all dirty leaders zzk can't be excluded in that list!he is a shame and disgust

Kama vipi Zitto aongezwe kwny List of shame ya Mafisadi Papa! na orodha irudishwe kwny Tovuti ya chama
 
Safi sna Mie Nina mashaka nae muda mrefu huyu jamaa yupo kwa ajiri maslahi ktk siasa kwa umri wake amepata wapi uwezo wa kumiliki nyumba masaki tna zaidi ya moja mh zito zuberi kabwe yupo ktk siasa kwa ajiri maslahi binafsi sio kuwa tetea wana kigoma time will tell
 
Mbowe ndiye aliyesema kuwa Lowassa hafai, ni fisadi......

Basi na nyie msiishie tu kumsema zitto mpelekeni mahakamani.

Kazi ya serikali hiyo iwe zitto au lowasa wakamatwe wote ijulikane1 mbivu na.mbicho
 
Kama zitto yupo kisiasa na wewe changamkia fulsa ili na wewe umiliki hizo nyumba basi.

Watu wengine ukiona huna point ya kuongea mbele za watu kwa nini usikae kimyaaaaa???

Hivi sasa kila mtanzania ameamka kisiasa na kujua nini maana ya siasa na hasa neno ufisadi naamini mioyo yenu inatamka kwa dhati kuwa ni jasho la mh. Zitto kabwe,, hata wewe mleta maada ymekua kibaraka wa cdm baada ya kuogelea ndani ya damu ya zito iliyotolewa kwa ajiri ya watz kupitia cdm. Leo kwa vile na wewe unajua kuandika baaaasi unaandika tuuu,,,
Halafu epuka kupost vitu usivyovijua bora ukafanya utafiti kwanza kuchwani na kuona nafsi yako inazungumza nini juu ya hilo
 
Katika kizazi cha sasa sijawahi ona mwanasiasa wa ajabu kama zitto! Anapenda umaarufu wa chee wakati huo huo ni mnafiki Mno! Wenye akili zao walishaacha hata kumjadili kwa sababu wanamuona kama ni kumpa umaarufu ambao umrshaanza kuisha wenyewe
Mbowe amaarufu wake ukoje? Zitto ni maarufu kuliko Mbowe.
 
Juzi jamaa aliibukia kwenye mkutano wa ALAT. Katika utawala huu wa JPM wanasiasa walaghai ndio kiama chao, naona mwisho wa Zitto kisiasa huo unakuja, ingawa hela ataendelea kuwa nayo kwa vile alivuta nyingi sana
 
story ndeeeeeeefu hoja punje ya ulezi. Haya nimesoma stori ila ninakazi zenye kunipa faida na story kaa nayo mwenyewe
 
Binafsi nataka unieleze huu utajiri amepata wapi mh zitto kabwe ni mpigaji tu km ndugu zetu wa kaskazini hta kushindwana kwa kulikuwa kwa maslahi yao binafsi sio kutuonea huruma wananchi wa TZ jaribu kutuliza kichwa chako fikiria kwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…